Hali yazidi kuwa tete Sudan Kusini baada ya Makamu wa Rais Machar kukamatwa, UN yaonya

Chama kikuu cha upinzani nchini Sudan Kusini kimesema, kiongozi wake Riek Machar, ambaye ni Makamu wa Rais wa nchi hiyo amekamatwa, huku Umoja wa Mataifa ukizitaka pande zote kuheshimu makubaliano ya mwaka 2018 yaliyomaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *