‘Haki za mtoto wangu ambaye hajazaliwa zinakiukwa’

BBC imezungumza na mhamiaji mjamzito ambaye anahofia mtoto wake ambaye hajazaliwa huenda asipate uraia wa Marekani moja kwa moja kufuatia agizo la Trump.