#HABARI:Polisi wa kuzima ghasia nchini Kenya wanakabiliana na waandamanaji jijini Nairobi ambao wamejitokeza katika maandamano ya Nane Nane kushinikiza uwajibikaji na utawala bora.
Wakati maandamano hayo yakiendelea maduka mengi bado yamengwa huku shughuli za kawaida zikiathirika pia.