#HABARI:Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele amefunguka siri ya ushindi wa jumla kwa Jeshi la Kuje…

#HABARI:Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele amefunguka siri ya ushindi wa jumla kwa Jeshi la Kujenga Taifa, katika Maonesho ya Wakulima Nanenane Kitaifa na Kikanda.

Mkuu wa JKT ameyasema hayo, mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumkabidhi tuzo ya ushindi wa Jumla wa Maonesho ya Wakulima Nanenane kwa mwaka 2024, katika viwanja vya Nanenane Nzuguni Dodoma.