#HABARI: Zaidi ya wagonjwa 85 wamefanyiwa upasuaji bure wa magonjwa mbalimbali ya macho, kwenye kambi ya siku tatu ya macho ya M…

#HABARI: Zaidi ya wagonjwa 85 wamefanyiwa upasuaji bure wa magonjwa mbalimbali ya macho, kwenye kambi ya siku tatu ya macho ya Mo Dewji Foundation, kwa ushirikiano na Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea, mkoani Lindi,ambapo baadhi wameweza kuona na kurejea katika hali zao za kawaida, huku wengine wakipimwa na kupatiwa matibabu mbalimbali ya macho.