#HABARI: Waziri wa Viwnda na Biashara Mhe

#HABARI: Waziri wa Viwnda na Biashara Mhe. Dkt.Selemani Jafo, ameridhishwa na uchakataji wa sukari katika kiwanda cha Mkulazi, kilichopo Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, ambapo ameutaka uongozi wa kiwanda hicho kuanza kutengeneza vifungashio vya kujaza sukari kwa ujazo tofauti.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania