#HABARI: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais ,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mh

#HABARI: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais ,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mh. Mohamed Mchengerwa, amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya, Miji na Majiji, kutenga fedha za mapato ya ndani 10% kwa mujibu wa sheria za nchi, kwa ajili ya kukarabati na kujenga barabara za mitaa ,ili kuwaondolea adha ya miundombinu mibovu wananchi, na atakayeshindwa kutekeleza agizo hilo ajitathimini kama ana sifa za kuendelea kukaa katika nafasi hiyo.