#HABARI: Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe.Abdallah Ulega, amesema mpaka sasa mradi wa ujenzi wa bandari ya uvuvi ya Kilwa Masoko, imeshatoa ajira kwa vijana wapatao 570 ambao wanafanyakazi hapo, na utakapo kamilika utatoa ajira elfu 30 katika nyanja mbalimbali.
Waziri Ulega amesema hayo alipotembelea kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi huo unaofanyika wilayani Kilwa, mkoani Lindi.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania