#HABARI: Waziri wa Maji, Nishati na Madini wa Zanzibar Mhe.Shaibu Hassan Kaduara, amewasimamisha kazi wafanyakazi zaidi ya 15, w…

#HABARI: Waziri wa Maji, Nishati na Madini wa Zanzibar Mhe.Shaibu Hassan Kaduara, amewasimamisha kazi wafanyakazi zaidi ya 15, wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO),kwa kuhusika na upotevu wa fedha zaidi ya shilingi bilioni tatu kwa mwezi ,kwa tuhuma za kusambaza umeme bila ya malipo huku mmoja akituhumiwa kupeleka umeme nyumbani kwake na kuwapa majirani umeme huo bila ya malipo serikalini.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania