#HABARI: Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalimu, amesema suala la uhaba wa watumishi bado ni changamoto kubwa unaoikumba sekta ya afya nchini, hasa katika ngazi ya chini ya Zahanati, vituo vya afya na baadhi ya hospitali, upungufu ambao unafikia asilimia 50% suala ambalo linaathiri utoaji wa huduma kwa wananchi.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania