#HABARI: Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe

#HABARI: Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, amesema Serikali imeimarisha nguvu kazi katika Sekta ya Afya, kwakuongeza taasisi zinazotoa mafunzo ya Afya na upatikanaji wa fursa za elimu ya juu kwa kada hiyo.

Bofya hapa.-https://www.itv.co.tz/news/serikali-imeimarisha-nguvu-kazi-sekta-ya-afya