#HABARI: Wazalishaji wa vyakula vya mifugo wametakiwa kuzingatia ubora ili kuwawezesha wafugaji kupata mazao bora ya mifugo, iki…

#HABARI: Wazalishaji wa vyakula vya mifugo wametakiwa kuzingatia ubora ili kuwawezesha wafugaji kupata mazao bora ya mifugo, ikiwemo nyama zenye viwango vya ubora unaotakiwa kwenye masoko ya ndani na nje ya nchi hivyo kunufaika kiuchumi.

Wito huo umetolewa na wazalishaji wa vyakula vya mifugo katika maonesho ya Nanenane, Kanda ya Kaskazini Jijini Arusha.