#HABARI: Watumishi wa Umma wamehimizwa kujitokeza kuchunguza afya zao, katika Kambi ya Matibabu na Uchunguzi inayofanyika katika…

#HABARI: Watumishi wa Umma wamehimizwa kujitokeza kuchunguza afya zao, katika Kambi ya Matibabu na Uchunguzi inayofanyika katika Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma.

Wito huo umetolewa na Ndg.Cyrus Kapinga, ambae amemuwakilisha Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakati wa ufunguzi wa kambi hiyo.

Bofya hapa.-https://www.itv.co.tz/news/watumishi-wahimizwa-kujitokeza-kuchunguza-afy