#HABARI: Wananchi laki moja na elfu kumi na sita katika Kata za Nkende, Nyamisangura na Binagi, zilizopo Wilaya ya Tarime, mkoan…

#HABARI: Wananchi laki moja na elfu kumi na sita katika Kata za Nkende, Nyamisangura na Binagi, zilizopo Wilaya ya Tarime, mkoani Mara, wameondokana na vifo vinavyotokana na kusombwa na maji na wanafunzi kushindwa kwenda shule ,kutokana na mto kufurika maji nyakati za mvua, baada ya serikali kuwajengea madaraja mawili ya Kinyambi na Kibweye, yenye thamani ya zaidi shilingi bilioni 1.6.