#HABARI: Wanafunzi wa shule ya msingi Changarawe, Kata ya Mzumbe, wilayani Mvomero, mkoani Morogoro, wameiomba serikali na wadau…

#HABARI: Wanafunzi wa shule ya msingi Changarawe, Kata ya Mzumbe, wilayani Mvomero, mkoani Morogoro, wameiomba serikali na wadau wengine wa maendeleo kuwajengea madarasa matano ili kuondoa adha ya msongamano iliyopo kwa wanafunzi katika chumba kimoja ambapo kwa sasa yapo madarasa yenye wanafunzi zaidi ya 100.