#HABARI : Wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Low Society – TLS ) wamepiga kura kuwachagua Viongozi ambao w…

#HABARI : Wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Low Society – TLS ) wamepiga kura kuwachagua Viongozi ambao wataongoza Chama hicho katika kipindi cha miaka mitatu ijayo huku wakisema matarajio yao ni kupata kiongozi mchapakazi, asiyembinafsi, mahiri, msikivu na muadilifu.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti wakati wa zoezi la kupiga kura lililofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.