#HABARI: Wakulima wa zao la Pamba mkoani Simiyu, wameiomba serikali kutoa elimu ya matumizi sahihi ya mbolea hai, ili kuondokana na changamoto ya uzalishaji mdogo wa zao hilo usio na tija kutokana na kutofuata kanuni za uwekaji wa pembejeo hiyo hali inayodaiwa kuchangia kudidimiza uchumi wao.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania