#HABARI: Viongozi wa Vyama vya Ushirika Mkoani Dodoma, wamepewa wito wa kutimiza majukumu kwa kufuata Kanuni Taratibu na Sheria …

#HABARI: Viongozi wa Vyama vya Ushirika Mkoani Dodoma, wamepewa wito wa kutimiza majukumu kwa kufuata Kanuni Taratibu na Sheria za Ushirika ili kuviwezesha Vyama kuongeza tija na manufaa kwa Wanachama.

Mrajis Msaidizi wa Mkoa wa Dodoma, Joseph Chitinka, amebainisha hayo akifungua Mafunzo ya Uongozi na Usimamizi kwa Wajumbe wa Bodi, Kamati za Usimamizi na Watendaji wa Vyama vya Ushirika mkoani Dodoma.

(Feed generated with FetchRSS)