#HABARI: Vijana watatu wakazi wa Kata ya Lituhi, wamefariki dunia na wengine watano kunusurika baada ya Mtumbwi waliopanda kupinduka katika Mto Ruhuhu, wilayani Nyasa mkoani Ruvuma, wakati wakitoka kwenye mechi ya kirafiki wilayani Ludewa mkoani Njombe.
Mwenyekiti wa Kijiji cha Kihulu, Bw.Paul Benedict,aelekza kilichotokea
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow RadioOneStereo