#HABARI: Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje, mkoani Songwe, umevifunga makufuli vibanda zaidi ya 300 kuzunguka Soko la It…

#HABARI: Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje, mkoani Songwe, umevifunga makufuli vibanda zaidi ya 300 kuzunguka Soko la Itumba na Vituo vya Mabasi vya Isongole na Itumba, ili kushinikiza wafanyabiashara wanaovitumia kusaini mkataba mpya wenye lengo la kuongeza kodi ya pango la vibanda hivyo.