#HABARI: Umati wa wananchi wanaosumbuliwa na magonjwa ya macho waliokosa huduma za kitabibu kwa kukosa fedha za matibabu ,kat…

#HABARI: Umati wa wananchi wanaosumbuliwa na magonjwa ya macho waliokosa huduma za kitabibu kwa kukosa fedha za matibabu ,katika Wilaya ya Nachingwea, mkoani Lindi, wemejitokeza kwa wingi kupatiwa matibabu bure,katika Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea ambayo inashirikiana na kambi maalum ya Taasisi ya Mo Dewji Foundation. Huduma hiyo ya matibabu bure itahusisha pia wenye ulemavu wa ngozi.