#HABARI: Tani moja ya Pamba ya wakulima wa zao hilo kutoka katika chama cha msingi cha Samagi Jinone kilichopo katika Kijiji cha…

#HABARI: Tani moja ya Pamba ya wakulima wa zao hilo kutoka katika chama cha msingi cha Samagi Jinone kilichopo katika Kijiji cha Imalanguzu Kata ya Mwamakona wilayani Igunga, imebainika kuuzwa ikiwa imechanganywa na maji kinyume na utaratibu hali inayoharibu ubora wa Pamba ya Tanzania katika masoko ya kimataifa pamoja na kuozesha mbegu ya asili ya pamba hiyo.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania