#HABARI: Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), mkoani Shinyanga imewataka waandishi wa Habari wawe sehemu ya mapa…

#HABARI: Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), mkoani Shinyanga imewataka waandishi wa Habari wawe sehemu ya mapambano dhidi ya vitendo vya rushwa, wakati wa uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika mwaka huu 2024 na uchaguzi mkuu Mwakani 2025.

Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Shinyanga Bw. Donasian Kessy, na kuwataka wanahabari wa mkoa huo kuandika Habari za uchaguzi bila kuwa sehemu ya makundi yanayojihusisha na rushwa.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania