#HABARI: Shirika la Viwango Nchini (TBS), Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Asili na Mazingira (IUCN) na Halmashauri ya Wilaya…

#HABARI: Shirika la Viwango Nchini (TBS), Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Asili na Mazingira (IUCN) na Halmashauri ya Wilaya ya Ubungo, wamehimiza uzalishaji wa bidhaa zinazozingatia viwango vya ubora pamoja na matumizi ya teknokojia rahisi zinazosaidia kuongeza uzalishaji na ambazo zina tija kubwa kwa mkulima.