#HABARI: Serikali za Tanzania na Burundi, zimebaini kuendelea kuwepo kwa vijana kutoka Kambi ya Nduta, mkoani Kigoma, ambao wame…

#HABARI: Serikali za Tanzania na Burundi, zimebaini kuendelea kuwepo kwa vijana kutoka Kambi ya Nduta, mkoani Kigoma, ambao wamekuwa wakitoroka katika kambi hiyo na kwenda kujihusisha na vitendo vya uhalifu nje ya kambi kuwa watakapokamatwa watachukuliwa hatua kali za kisheria.