#HABARI: Serikali Wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro, kupitia kwa wataalam wa afya katika mpaka wa Tanzania na Kenya Holili, zimeanza kuchukua tahadhari dhidi ya tishio la ugonjwa wa homa ya Nyani ili ugonjwa huo usiweze kusambaa nchini.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania