#HABARI: Serikali imeanza mchakato wa ujenzi wa bomba la mafufa laini na gesi, kwenda katika nchi 5 za Afrika katika kuifanya Tanzania kufungua milango ya biashara za kimataifa na kuwa kitovu kikuu cha kusambaza gesi asilia katika nchi zote zinazopakana nayo.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow RadioOneStereo
(Feed generated with FetchRSS)