#HABARI: Rehema Paulo (26) mkazi ya Kata ya Katente, wilayani Bukombe mkoani Geita amekatwa viganja vya mikono yote miwili kwa p…

#HABARI: Rehema Paulo (26) mkazi ya Kata ya Katente, wilayani Bukombe mkoani Geita amekatwa viganja vya mikono yote miwili kwa panga na mchumba wake aliyefahamika kwa jina la Baba Lawi kisha kutokomea pasipojulikana.

Kamanda wa Polisi mkoani Geita Kamishina Msaidizi, Mwandamizi wa Polisi, Safia Jongo, amesema sababu za tukio hilo ambao ulipelekea mgogoro ni wivu wa kimapenzi.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow RadioOneStereo