#HABARI: Rais wa Tanzania Mhe.Dkt

#HABARI: Rais wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa Chuo cha Ulinzi cha Taifa (NDC), kuhakikisha kinaweka malengo endelevu yatakayokifanya kuendelea kuwa kitovu cha elimu ya usalama na ya kimkakati ya kutegemewa nchini na kimataifa kwa kujikita katika utatuzi wa changamoto mbalimbali zinazoikabili dunia kupitia tafiti zenye kuleta majibu.

Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza hayo kwenye Mahafali ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), Kozi ya 12 kwa Mwaka 2023/2024, Kunduchi Jijini Dar es Salaam.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania