#HABARI: Rais wa Kenya William Ruto, amemteua Dorcas Oduor, kuchukua wadhifa wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, iwapo ataidhinish…

#HABARI: Rais wa Kenya William Ruto, amemteua Dorcas Oduor, kuchukua wadhifa wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, iwapo ataidhinishwa na Bunge atakuwa Mwansheria Mkuu wa kwanza wa serikali ya kenya wa kike kuwahi kushikilia wadhifa huo.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania