#HABARI: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt.Doto Biteko, amewataka watumishi Serikalini kufanya kazi kwa kuzingatia maadili na misingi ya utoaji wa huduma, ili kuleta matokeo Chanya na sio kuwakwamisha watu wanohitaji huduma.
Bofya hapa.-https://www.itv.co.tz/news/fanyeni-kazi-kwa-kuzingatia-maadilibitek