#HABARI: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt.Doto Biteko, amekitaka Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mawakil…

#HABARI: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt.Doto Biteko, amekitaka Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mawakili, kusimamia Haki na Amani nchini, ili kuhakikisha haki inatendeka kwa watu wote ili kuchochea maendeleo.

Bofya hapa.-https://www.itv.co.tz/news/tls-chagueni-viongozi-kuzingatia-vigezo