#HABARI: Naibu Waziri Mkuu Mhe. Doto Biteko, amewataka wakulima na wafugaji nchini kuacha kutumia viuatilifu na kemikali kwenye mazao na mifugo, vyenye athari kwa afya za binadamu na badala yake wafuate maelekezo ya wataalamu ili kuzuia athari zinazoweza kujitokeza sasa au baadae.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania