#HABARI: Mwili wa mwanamke uliokutwa ukielea katika Bwawa la Mbimba, kandokando mwa Barabara kuu ya Tanzania Zambia wilayani Mbozi mkoani Songwe, umetambulika kwa jina la Clara Nzunda ambaye alikuwa Mkazi wa Kata ya Ilolo, huku wananchi wakiomba uchunguzi ukamilike haraka, ili kubaini chanzo cha tukio hilo ambalo limezua taharuki kubwa.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania