#HABARI: Mwili wa mtu mmoja wa jinsia ya kike ambaye jina lake halijafahamika, umekutwa ukielea na kuopolewa ukiwa umeharibika, …

#HABARI: Mwili wa mtu mmoja wa jinsia ya kike ambaye jina lake halijafahamika, umekutwa ukielea na kuopolewa ukiwa umeharibika, katika bwawa la Mbimba linalotumika kwa shughuli za umwagiliaji, lililopo kandokando ya barabara kuu ya Tanzania Zambia wilayani Mbozi mkoani Songwe.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania