#HABARI: Mtuhumiwa wa mauaji ya takribani wanawake 42, ambao miili yao iliokotwa eneo la Kware Embakasi, Jijini Nairobi, nchini …

#HABARI: Mtuhumiwa wa mauaji ya takribani wanawake 42, ambao miili yao iliokotwa eneo la Kware Embakasi, Jijini Nairobi, nchini Kenya, Collins Jumaisi Khalusha, ametoroka katika Kituo cha Polisi cha Gigiri, jijini humo.

Kulingana na ripoti ya polisi, mtuhumiwa huyo alitoroka na wengine 12 watuhumiwa wa uhamiaji haramu, mara baada ya kukata senyenge za uzio katika kituo cha Polisi Girigiri, waliokuwa wakishikiliwa wakati wakisubiria kufikishwa mahakamani kwa ajili ya kusikilizwa kesi.

(Feed generated with FetchRSS)