#HABARI: Mtu mmoja amefariki dunia na wengine Watano hawajulikani walipo, huku watu 17 wakinusurika baada ya boti waliyokuwa wak…

#HABARI: Mtu mmoja amefariki dunia na wengine Watano hawajulikani walipo, huku watu 17 wakinusurika baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuingia maji na kuzama ikitoka Kisiwa cha Yozu kwenda Kijiji cha Itabagumba wilayani Sengerema mkoani Mwanza.