#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Wakili Julius Mtatiro, ametoa agizo la kuifungia kampuni ya Aliance Motion Global, kwa tuhu…

#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Wakili Julius Mtatiro, ametoa agizo la kuifungia kampuni ya Aliance Motion Global, kwa tuhuma ya kufanya utapeli kwa kuwakusanya vijana kutoka maeneo mbalimbali ya nchini na kuwalaghai kuwa watawapatiwa kazi huku wakiwatoza fedha.