#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Bi.Ester Mahawe, ameyaonya Makampuni yanayopita kwa wakulima kununua Kahawa kinyume na utaratibu na kuyataka kuhakikisha yananunua zao hilo kupitia vyama vya msingi vya ushirika, lengo likiwa ni kuendelea kulinda ubora wa Kahawa hiyo ambayo imekuwa ikifanya vizuri kwenye soko la Kimataifa.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania