#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Bi

#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Bi. Queen Sendiga, amewataka Watendaji Kata na Maafisa Tarafa wa Mkoa huo, kutatua kero za wananchi pamoja na kusimamia utekelezaji wa miradi mbali mbali ya maendeleo ikiwemo ya afya, maji na barabara ili iweze kukamilika kwa wakati na kuwahudumia wananchi hivyo kupunguza malalamiko.