#HABARI: Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Askofu Dokta Alex Malasusa, amesema ipo haja ya viongozi wa kidini na serikali kuweka nguvu ya pamoja katika kupambana na vitendo vya utekaji na mauaji dhidi ya watu wenye Ualbino ,kwa kuwa vitendo hivyo vinaliabisha taifa na haviwezi kuvumilka.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania