#HABARI: Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Damu Benjamin Mkapa (BMH) Stella Malangahe amesema BMH imefanya upandikizaji uloto kwa mgonjwa wa Sikoseli ambaye anatofautiana kundi la damu na mchangiaji wake wa Uloto, huduma ambayo hapo awali haikuwa ikifanyika.
Bofya hapa.-https://www.itv.co.tz/news/bmh-yapandikiza-uloto-mgonjwa-wa-sikoseli