#HABARI: Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Bw.Masanja Kadogosa, ameweka wazi utaratibu wa kuzuia baadhi ya mizigo ka…

#HABARI: Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Bw.Masanja Kadogosa, ameweka wazi utaratibu wa kuzuia baadhi ya mizigo kama vifurushi vikubwa, wanyama na ndege, vitu vyenye ncha kali na silaha.

Kadogosa amesema sababu za kiusalama, usumbufu wa wasafiri pamoja na viwango vya ubora wa Treni mpya za Kisasa za SGR ndio sababu kubwa inayolazimika uwepo wa utaratibu huo,ambapo lazima kuwe na utofauti na treni za zamani, ambazo bado zinaendelea kutoa huduma.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania