#HABARI: Mfanyakazi wa Kampuni ya Mabasi ya Hajees, aliefahamika kwa jina la Bi

#HABARI: Mfanyakazi wa Kampuni ya Mabasi ya Hajees, aliefahamika kwa jina la Bi. Emmy Lukas, amefariki dunia papo hapo baada ya kukanyagwa na tairi za nyuma za basi la KSK, majira ya asubuhi kwenye Stendi ya Chogo, wilayani Handeni, mkoani Tanga.