#HABARI: Meneja wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mkoa wa Njombe, Mhandisi Ruth Shalua, amesema utekelezaji wa Miradi y…

#HABARI: Meneja wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mkoa wa Njombe, Mhandisi Ruth Shalua, amesema utekelezaji wa Miradi ya Barabara katika mkoa wa Njombe umefikia Asilimia 88.3.

Bofya hapa.-https://www.itv.co.tz/news/ujenzi-miundombinu-ya-barabara-njombe-88