#HABARI: Manusura 16 wa maporomoko ya tope ya Mlima Kawetere, Kata ya Itezi, mkoani Mbeya, wamegomea viwanja walivyopewa wakidai maeneo hayo yaliyotengwa kwa ajili ya makazi yao, yapo ndani ya mita sitini ya mto, na yamejaa mawe wakihofia usalama wa maisha yao.