#HABARI: Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, Mkoa wa Mbeya, wameridhishwa na utendaji kazi wa Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo Bw. Renatus Mchau, kukubaliana shule mpya ya ufundi inayotarajiwa kujengwa kuitwa jina la mkurugenzi huyo kama sehemu ya kuenzi mchango wake wa kusimamia na kukuza elimu kupitia utendaji wake ulioleta matokeo yenye tija.
https://www.itv.co.tz/news/ded-aliyeleta-mapinduzi-rungweapewa-shule-ya-ufundi