#HABARI: Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimelaani tukio la kikatili la unyanyasaji wa kijinsia, lilalomuhusu msic…

#HABARI: Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimelaani tukio la kikatili la unyanyasaji wa kijinsia, lilalomuhusu msichama mmoja mkazi wa Makangarawe Yombo Dovya, wilayani Temeke, Jijini Dar es Salaam, ambaye amefanyiwa ukatili wa kubakwa na kulawitiwa na vijana watano wanaodaiwa ni Askari wa Vikosi vya Ulinzi Tanzania.