#HABARI: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya sheria ndogo, imeridhishwa na hatua ya uwekezaji na utendaji wa Kapundi ya DP World, katika Bandari ya Dar es Salaam, ambapo toka kampuni hiyo ianze kufanya kazi imeanza kuondoa changamoto za meli kukaa majini zaidi ya siku 30 na kupungua mpaka kufikia siku 7.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania