#HABARI: Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora, limekamilisha uchunguzi wa tukio la ulawiti analodaiwa kulifanya Mwalimu Dotto Elias Masatu wa kituo cha kulelea watoto cha mtakatifu Dorothy, kilichopo katika kata ya Mtendeni Manispaa ya Tabora kwa mwanafunzi wake wa kiume wa darasa la pili mwenye umri wa miaka saba.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania
(Feed generated with FetchRSS)